Breaking News:

Top Ad

//

Bakili Makele wa Yanga Afunguka kufungiwa Kisa Manji

KAMATI ya Maadili ya shirikisho la soka Tanzania TFF Kupitia mwenyekiti wake, Hamidu Zembweleni imewafungia wanachama wawili ambao ni katibu wa kamati ya uchaguzi ya Yanga, Bakili Mohammed Bakele na Mwenyekiti wa kamati wa matawi wa klabu hiyo. Baada ya kufungiwa Bakele amefunguka A-Z Sababu ya kufungiwa akizungumza na Global TV. Wanachama hao walikuwa wakidaiwa kuwa walikuwa wakizuia wanachama kwenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya uenyekiti kwenye klabu ya Yanga wakisema bado mwenyekiti wa timu hiyo ni Yusuf Manji.

Post a Comment

0 Comments