Breaking News:

Top Ad

//

SIMBA YA IBUKA NA USHINDI ZIDI YA RAYON SPORTS




Leo timu ya soka ya Simba imeibuka kidedea  na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya timu ya Rayon Sports katika mechi ya kirafiki ilivyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mechi hiyo ya kirafiki ilipigwa ili kulipamba tamasha la Simba Day ambalo hufanyika kila Aug8, kila mwaka.

Bao hilo la pekee lilifungwa na Mo Ibrahim dakika ya 15 baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Emmanuel Okwi.

Post a Comment

0 Comments