
Nyota wa barcelona Neymar anataka kuiihama klabu yake ili kuelekea katika klabu ya PSG iliopo nchini Ufaransa ,lakini hatua hiyo inatarajiwa kuigharimu PSG rekodi ya uhamisho ya €222m
Kwa bei, Neymar mmoja pekee ana thamani ya £198m, ama $262m, ambayo inaweza kununua.
Ndege moja ama tatu

Neymar mmoja anaweza kununua ndege tatu aina ya Boeing 737-700 za abiria ambazo zitagharimu $82.4m each.
Iwapo unataka kuimarisha ndege ya aina ya snazzier 737-800 - ambayo inatumika sana na kampuni ya ndege za abiria ya Ryanair's barani Ulaya - utaweza kununua ndege mbili pekee huku $65m zikisalia
Vilevile, unaweza kununua ndege ya kibinasfi kwa Neymar mmoja itakayogharimuranging up to about $100m -na baadaye kutumia fedha zilizosalia kwa matumizi ya juu ya ndege hiyo kila mwaka

Ndege ya kijeshi ya F-35 ambayo inatumiwa sana na US Airforce itagharimu $94m, na ndege iliotoweka katika soko ya F-22 Raptor ilikuwa inauzwa kwa $150m wakati uzalishaji wake ulipositishwa
0 Comments