Breaking News:

Top Ad

//

Kama una mpango wa kujiunga UDSM kuna haya ya kufah





“Maelezo yote ya kutumia mtandao huu yanapatikana kwenye tovuti ya Chuo, kuna kitabu kidogo cha Chuo kinachoelezea program zotetulizonazo, vigezo vya kuingia Mwanafunzi.” – Allen Mush
.
.
Baada ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania ‘TCU’ kutangaza mabadiliko na kuurejesha Udahili wa wanafunzi wa Elimu ya Juu kwenye Vyuo husika, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ‘UDSM’wamebainisha mfumo wanaoutumia kudahili wanafunzi.
Mkurugenzi wa Shahada za Awali, Allen Mushi amesema Chuo hicho kimejipanga vizuri kutekeleza agizo la Serikali kuvitaka Vyuo Vikuu nchini kuwadahili Wanafunzi moja kwa moja Vyuoni badala ya awali ambapo zoezi hilo lilisimamiwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania,TCU.
“Tumejipanga na tunaendelea na suala hili kwamba Wanafunzi wanaomba moja kwa moja kupitia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na wanaomba kupitia mtandao wa Chuo ambao upo kwenye website.

.

.

Post a Comment

0 Comments