Home
About
Contact
Breaking News:
Top Ad
Home
NEWS
_ShortCodes
_SiteMap
_Error Page
SPORT
FASHION
TECHNOLOGY
Home
news
Wanajeshi watatu wa kikosi cha kulinda amani MINUSMA wafariki katika shambulizi nchini Mali
Wanajeshi watatu wa kikosi cha kulinda amani MINUSMA wafariki katika shambulizi nchini Mali
EYES
September 25, 2017
Wanjeshi watatu wa kikosi cha Umoja wa Matifa MINUSMA nchini Mali wafariki katika shambulizi lililotokea Kusini-Mashariki katika jimbo la Gao.
Wanajeshi wengine watano wamejeruhiwa katika shambulizi hilo lililotokea Jumapili.
Ofisi za Umoja wa Mataifa zimefahamisha kuwa msafara wa jeshi lake ulishambuliwa karibu na eneo la Anefis-Gao. Baada ya tukio hilo jeshi la MINUSMA liliendesha operesheni ya kuwasaka waliohusika na kitendo hicho.
Post a Comment
0 Comments
Social Plugin
Popular Posts
Hospitali ya nairobi yathibitisha kupokea fedha za mchango wa Lissu
September 24, 2017
Technology
3/technology/post-list
Categories
Breaking News
106
fashion
5
news
150
sport
207
technology
4
video
9
Worlds News
109
Tags
Breaking News
fashion
news
sport
technology
video
Worlds News
0 Comments